Mkutano wa 21 wa Mamlaka za Mapato EAC Zanzibar Dec 2025

Kamishna wa Idara ya mapato Mengine Ndg. Said Ali Mohammed akiwa katika picha ya pamoja washiriki wa Mkutano wa 21 wa Mamlaka za Mapato za Nchi Wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Hoteli ya madinatul bahri.

/