News and Events Change View → Listing

INVITATION FOR TENDER (1FT) NO:  SMZ/FOlll/G/NCB/2019 20/04

SUPPLY OF PROMOTIONAL MATERIALS   1.  This  Invitation  for  Bids  follows  the General  Procurement  Notice  (GPN)  for  Zanzibar Revenue Board...

Read More

Taarifa kwa umma

Kufuatia tangazo la ajira lililotolewa na ZRB hivi karibuni ambalo lilihusu kuitwa kwa waombaji wa ajira ya kufanya usaili wa kujaza nafasi mbali mbali za kazi katika ofisi za ZRB, kumejitokeza watu wasiokuwa...

Read More

Zrb,waingizaji bidhaa uso kwa uso

KAMISHNA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Joseph Abdalla Meza, amewasisitiza wafanyabiashara kuhakikisha wanafuata masharti ya biashara ikiwemo kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar. Alieleza hayo...

Read More

Zrb kujadili changamoto na wadau

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), inakusudia kukaa pamoja na Tasisi za Serikali ambazo zina mchango katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege na Bandari ili kuhakikisha inaondoa changamoto...

Read More

ZRB Kukusanya Kodi kwa Mfumo wa Vitalu

BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB), imeandaa mpango maalum wa kuanzisha mfumo wa kodi wa vitalu (Block Management System) katika shehia zote za Unguja na Pemba ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato nchini. Mfumo huo...

Read More

Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki Umepaisha Mapato ya Kodi yatokanayo na Kampuni za Simu

Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (Electronic Revenue Collection System (e-RCS) umeonyesha mafanikio makubwa kwa miezi mitatu ya mwanzo ya Julai, Agosti na Septemba 2017, baada ya Makusanyo ya Kodi...

Read More

ZRB yawafunda wanahabari sheria za kodi

Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imesema kuimarika ukusanyaji wa kodi kutasaidia kukuza huduma mbalimbali za maendeleo nchini. Hayo yalielezwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kutoka bodi hiyo, Safia Is-hak,...

Read More

ZRB yawafunda Wawakilishi sheria ushuru wa bidhaa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema inakusudia kuanzisha sheria ya ushuru wa bidhaa ili kuiwezesha Zanzibar kuwa na nguvu za kisheria kutoza ushuru huo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha na...

Read More